À proposConditionsConfidentialitéContact
 
Actualisation
TCRA Tanzania

TCRA Tanzania

Date de sortie : 2025-07-17
© 2025 Tanzania Communications Regulatory Authority
TCRA Tanzania - QR Code
10 épisodes
Audio
Écouter sur Apple Podcasts
10 épisodes
Audio
Écouter sur Apple Podcasts
Date de sortie : 2025-07-17
© 2025 Tanzania Communications Regulatory Authority
L’épisode le plus récent
Mawasiliano ni Fursa: Gari la Mtambo (Mobile Monitoring Radio Frequency Station)

Mawasiliano ni Fursa: Gari la Mtambo (Mobile Monitoring Radio Frequency Station)

Ungana nasi kufahamu juu ya kazi ya gari la mtambo wa usimamizi wa masafa kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Unaweza kufuatilia kipindi cha Mawasiliano ni Fursa kupitia chaneli ya YouTube ya TCRA ili kufahamu kwa kina kuhusu majukumu ya gar
Durée : 15:49
Ungana nasi kufahamu juu ya kazi ya gari la mtambo wa usimamizi wa masafa kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).
Unaweza kufuatilia kipindi cha Mawasiliano ni Fursa kupitia chaneli ya YouTube ya TCRA ili kufahamu kwa kina kuhusu majukumu ya gari hilo katika usimamizi wa huduma za mawasiliano nchini.
TCRA inaendelea kutumia teknolojia na mifumo mbalimbali kusimamia sekta ya mawasiliano katika kuhakikisha ubora , usalama na upatikanaji wa huduma za mawasiliano.
Kwa maoni na mapendekezo, tafadhali wasiliana nasi kupitia 0800008272 au tuandikie dawatilahuduma@tcra.go.tz
#NiRahisiSana!
Id. d’épisode : 1000717745694
GUID : Buzzsprout-17520348
Date de publication : 17/7/2025 à 14:00:00

Description

Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) is a statutory regulatory body responsible for regulating the electronic and postal communication sector in Tanzania. It was established under the Tanzania Communications Regulatory Authority Act, No.12 of 2003, which merged the Tanzania Communications Commission (TCC) and the Tanzania Broadcasting Commission (TBC).Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ni taasisi iliyoasisiwa kwa mujibu wa sheria yenye wajibu wa kudhibiti sekta ya mawasiliano ya Kielektroni na Posta Tanzania. Ilianzishwa kwa Sheria ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) namba 12 ya mwaka 2003, ambayo iliunganisha zilizokuwa Tume ya Mawasiliano Tanzania (TCC) na Tume ya Utangazaji Tanzania (TBC).

Apple Podcasts : Avis des utilisateurs

Pas d'entrée